Mahusiano: Inatakiwa mzidiane miaka mingapi kuona?
Kama ilivyo desturi katika jamii nyingi duniani pindi inapokuja katika suala la kuoana kiumri mwanaume anatakiwa amzidi mwanamke, lakini hii sheria mimi binafsi sijui imeandikwa katika kitabu cha imani ipi au katiba ya nchi gani, na wengi wetu tumekuwa tunazingatia sana sheria hii wakati wa kuoana. Sasa naomba tuelimishane jambo moja, kwamba inatakiwa tuzidiane miaka mingapi au mwanaume inafaa awe anamzidi mwanamke kwa miaka mingapi?
karibuni tujadiliane katika hili.
No comments:
Post a Comment