Taarifa zilizoifikia maisha Times kutoka katika chanzo chetu zinasema kwamba; Mwanamitindo ambaye pia alikuwa ni Miss Ilala namba 3, mwaka 2005, Jacqueline Patrick amekamatwa na madawa ya kulevya aina ya Heroine huko Macau-China. Huu ni mwendelezo wa wimbi la vijana wengi haswa wa Kitanzania ambao wamekuwa wakikamatwa katika nchi mbalimbali kwa tuhuma za kujihusisha na biashara hiyo haramu na hatimaye kukutwa na madawa hayo ya kulevya.
December 24, 2013
Miss Ilala zilipendwa Jacqueline Patrick akamatwa na madawa ya kulevya Macau-China!
Taarifa zilizoifikia maisha Times kutoka katika chanzo chetu zinasema kwamba; Mwanamitindo ambaye pia alikuwa ni Miss Ilala namba 3, mwaka 2005, Jacqueline Patrick amekamatwa na madawa ya kulevya aina ya Heroine huko Macau-China. Huu ni mwendelezo wa wimbi la vijana wengi haswa wa Kitanzania ambao wamekuwa wakikamatwa katika nchi mbalimbali kwa tuhuma za kujihusisha na biashara hiyo haramu na hatimaye kukutwa na madawa hayo ya kulevya.
Lebo:
Entertainment,
Lifestyle,
Politics
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
http://www.getpaid4visits.com/index.php?refcode=46574
ReplyDelete