Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

June 27, 2013

CCM yadaiwa kuchakachua nakala ya gazeti la Mwananchi kukichafua CHADEMA!

 Nakala iliyochakachuliwa-Gazeti la Mwananchi la Tarehe 25 June 2013. 

 
Nakala halisi ya Gazeti la Mwananchi la Tarehe 25 June 2013. 

Tizama kwa makini kurasa mbili tofauti za nakala ya gazeti la Mwananchi kama zinavyoonekana hapo juu, zote ni nakala za gazeti la Mwananchi la Tarehe 25 June 2013. Wengi kati ya waliofanikiwa kugundua mbinu hiyo chafu ya kuedit nakala hiyo na kuisambaza mitandaoni kwa lengo la kumchafua Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndg. Wilfred Lwakatare na CHADEMA kwa ujumla wameonekana kukihusisha na kukishutumu Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusika na uchakachuaji huo kwa lengo la kukipaka matope Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ambacho kimeonekana kuzidi kukubalika zaidi na wananchi kila kukicha hata kuinyima usingizi kabisa Serikali ya CCM http://www.facebook.com/chadema.saut/posts/379868878780837?comment_id=1912230&offset=0&total_comments=11&notif_t=feed_comment_reply
 

8 comments:

  1. Anonymous2:39 PM

    Watakiona cha moto mafisadi hao.

    ReplyDelete
  2. Anonymous2:47 PM

    Wamechakachua rasilimali za nchi, mwakachakachua kesi kuwasingizia CHADEMA, sasa wamechakachua hadi magazeti? Hivi CCM hawawezi kufanya siasa safi, they are always men of dirty game. Sasa imekula kwao wameumbukaaa. Na bado.

    ReplyDelete
  3. Anonymous2:50 PM

    I realy like this move b'se they are creating their own grave. Poor CCM.

    ReplyDelete
  4. Anonymous3:24 PM

    Ama kweli ni hatari!, kumbe ccm wanahusika na suala hili la Lwakatare. Hizi ni dalili tosha.

    ReplyDelete
  5. Anonymous4:34 PM

    Wanazidi kuumbuka. Wamedhihirisha ndio waliotengeneza mkanda wa Lwakatare. Kama wameweza kutengeneza gazeti feki watashindwaje kutengeneza mkanda feki?

    ReplyDelete
  6. Anonymous6:52 PM

    dah jaman hii ni noma wadau mbona hakuna usalama tunakokwenda kama tumefikia hatua hii!!! chafu tena sana

    ReplyDelete
  7. Anonymous8:13 PM

    may allah acursed this uncircumcized




    rizo de bazil

    ReplyDelete
  8. Anonymous9:40 AM

    je wamiliki wa gazeti wamechukua hata gani?

    ReplyDelete