Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Zitto Kabwe
Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema) Zitto Kabwe amevunja ukimya na kusema kuwa hayuko tayari kwa sasa kuwataja Watanzania wenye mabilioni huko Uswisi na badala yake ameitaka Serikali ifanye uchunguzi kuhuisiana na suala hilo.
No comments:
Post a Comment