UKAWA- CHADEMA, CUF na NCCR kuwasha moto Landmark Hotel Dsm!
Vyama vitatu vya Siasa nchini CHADEMA, CUF na NCCR vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) vinawatangazia na kuwakaribisha wananchi wote kuhudhuria Kongamano litakalofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Landmark Hotel jijini Dar es salaam kesho tarehe 05/04/2014 kuanzia asubuhi saa tatu kamili na kuendelea. Viongozi wote wa vyama vinavyounda UKAWA watakuwepo. Dr Slaa (CHADEMA) Prof. Baregu, na baadhi ya waliokuwa wajumbe wa baraza la Katiba watakuwepo.
Wote mnakaribishwa.
No comments:
Post a Comment