Daraja la Mbezi Bondeni linalotenganisha eneo la Kawe Ukwamani na Tangi Bovu
Hawa ni Wananchi waliokuwa wakivuka kwa miguu katika daraja lenye hatari ya kuvunjika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha wakitokea Tangi Bovu baada ya Magari yaliyokuwa yakielekea katika maeneo ya Mwenge na katikati ya jiji kushindwa kuvuka kwenda upande wa pili.
Hawa ni Wananchi waliokuwa wakivuka kwa miguu katika daraja lenye hatari ya kuvunjika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha wakitokea maeneo ya Mwenge baada ya Magari yaliyokuwa yakielekea Maeneo ya Mbezi Beach, Tegeta, Bagamoyo kushindwa kuvuka kwenda upande wa pili.
ndio matokeo ya ujenzi mbovu wa miundombinu zetu
ReplyDeleteSante kwa taarifa Mkami
ReplyDelete