Katika hali ya kusikitisha sana, Maishatimes imepokea taarifa juu ya kifo cha mwanaharakati Regia Mtema, kilichotokea leo (14/01/2012) majira ya saa tano asubuhi. Marehemu alifariki baada ya kupata ajali ya gari maeneo ya Ruvu Darajani. Mh. Regia alikuwa ni mbunge wa viti maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA] akiwakilisha jimbo la Kilombero mkoani Morogoro.
Mungu aiweke mahali pema roho ya marehemu Regia Mtema.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
ReplyDeleteKifo cha Regia kimenisikitisha sana kwakweli
ReplyDelete