Upendo wa kweli hautegemei kabisa Siku, Saa, Nyakati, Hali wala aina ya Watu wa Kuwapenda, bali ni Upendo wenye Kumpenda kila mtu Kiimani na Kivitendo katika muda na nyakati zote...
Kwani Ukinipenda mimi au mimi nikikupenda wewe katika kweli tutapungukiwa na nini ..?¿..
Ni wajibu wetu sote kupendana na kuwapenda hata wale wasiotupenda sisi ili kwa Upendo tunaowaonyesha Wakapate kujifunza kupitia kwetu ..!¡..
No comments:
Post a Comment