Aliyekuwa Mbunge
wa Jimbo la Igunga, Dk Dalaly Kafumu [CCM]
Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imetoa hukumu ya kesi ya Ubunge iliyokuwa
ikimkabili mshindi wa ubunge jimbo la Igunda Dk Peter Kafumu [CCM] Hukumu hiyo ya kupinga matokeo yaliyompatia ushindi Dk Kafumu
imetolewa leo ambapo imemuengua mbunge huyo katika nafasi yake ya ubunge kutokana na kile kilichosemwa kwamba Viongozi wa Serikali ya chama kilichoko madarakani [CCM] walitumia madaraka yao vibaya katika uchaguzi.
Shauri hilo lilifunguliwa na mlalamikaji Joseph Kashindye [CHADEMA] dhidi ya Dk Kafumu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na msimamizi wa uchaguzi.
-}i{- Maisha Times itakuletea Habari zaidi hapo baadae
No comments:
Post a Comment