Katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 na hata uchaguzi mdogo wa madiwani
wa kata mbalimbali nchini uliofanyika leo tarehe 28.10.2012 hesabu za
kura na matokeo yaliyokamilika kama yanavyoendelea kutangazwa
yanaonyesha kwamba Chama Cha Mapinduzi [CCM] kinaongoza katika kata
zenye watu wengi wasio na Elimu na zilizo kwenye lindi kubwa la
umasikini wa kutupwa sambamba na hali ngumu ya maisha, huku Chama cha
Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA] kikiongoza zaidi katika kata zenye
watu wengi walioelimika na ambao japo ni kidogo lakini wamejitahidi
kujikwamua kiasi kutoka katika hali ngumu ya maisha.
Kwa hali hii je tuseme kwamba "Ujinga" ni moja ya mtaji unaotumiwa na Chama Cha Mapinduzi [CCM] kuendelea kutawala au..??..
Toa Mtazamo wako
Kwa hali hii je tuseme kwamba "Ujinga" ni moja ya mtaji unaotumiwa na Chama Cha Mapinduzi [CCM] kuendelea kutawala au..??..
Toa Mtazamo wako
Mtizamo huu umetolewa na Ndugu Salvatory Mkami
No comments:
Post a Comment