Tukianza with the obvious. Ni mambo gani haswa hufanya wapenzi kuendana? Na je? Jamii yetu inachukuliaje wapenzi ambao kwa namna moja au nyingine hawaendani (based on our definitions of the word)?
Kimo - Tupe maoni yako kuhusiana na hili. Mpenzi wako ni mrefu au mfupi kuliko wewe? Je hili linashusha au kuongeza uendano wenu? Lakini tusiishie hapo tu, kama wewe ni mwanaume, unadhani iwapo mpenzi wako amekupita urefu ina effect yoyote kwenye uendano wenu?
Akina dada, how do you like your guys? Wakupite urefu au vice versa?
Kuna uwezekano mahusiano yakayumba na kusambaratika kabisa kutokana na tofauti ya kimo na jinsi jamii inavyoichukulia?
Mwanaume ni mrefu kuliko mwanamke
Mwanamke ni mrefu kuliko mwanaume
No comments:
Post a Comment