Mvua
zilizonyesha jana Mkoani Singida zimeharibu vibaya barabara ya kuelekea Mwanza. Wakati ukaranati hafifu wa sehemu za barabara hiyo zilizokumbwa na uharibifu huo ukiendelea mpaka sasa shughuli zote
zimekwama. Ni mita 300 kutoka Mizani, karibu kabisa na njia panda
ya Iguguno.
No comments:
Post a Comment