Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

May 8, 2013

BREAKING NEWS! Lwakatare afutiwa Kesi ya Ugaidi!

Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfed Lwakatare.
Mahakama Kuu ya Tanzania imefuta mashtaka yote ya ugaidi yaliyokuwa yanamkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfed Lwakatare.

Taarifa kutoka Mahakama Kuu zinasema Mahakama Kuu imebakiza shitaka moja tu, la utekaji ambalo kimsingi ni Jinai na lina dhamana.


Taarifa zaidi zinasema ni shangwe kuu kutoka kwa wafuasi wa Chadema walioko mahakamani na Familia ya Lwakatare.Baadhi ya wafuasi wa Chadema waliohojiwa wamesema huu ni ushindi mkubwa dhidi ya udhalimu.


Katika kesi hii Lwakatare anawakilishwa na Jopo la mawakili nguli watano ambao ni Mabere Marando, Tundu Lissu, Professor Abdallah Safari, Peter Kibatala na Naronyo Kicheere.
Chanzo Kutoka Mahakamani.

1 comment:

  1. Anonymous5:20 PM

    pipoooooooooooooooooooz power....na hiyo si kesi coz hawana ushahid wa utekaji wowotee....alofanya huyu bwana....we say chadema for ever.

    ReplyDelete