http://www.facebook.com/pages/Maisha-Times-Blog/218471688234182
Bofya link hapo juu:
Haya ni maneno ya Mchungaji Munishi kama yanavyosikika katika Video yake.
Kwa wale ambao mmekuwa mkitembelea internet, mmeniona katika Facebook nikilalamika kuhusu yale ambayo CCM wananitendea ninaona si haki Wananitishia Maisha yangu kwanini!? Just to say that CCM imepitwa na wakati mnataka kuninyang'anya uhai kwasababu hiyo tu kusema CCM imezeeka, itoke Madarakani, mnataka kuninyang'anya uhai mnataka kuiharibu jamii yangu kwasababu hiyo tu, kwanini?! Ni haki yangu kusema haya, ya Kikatiba Mungu amenipa Pumzi nizungumze na nchi ya Tanzania ni nchi ya vyama vingi na kama ni nchi ya vyama vingi lazima kuruhusu mawazo tofauti na mimi nina mawazo tofauti na CCM, CCM ni chama cha Majambazi, Kimezeeka kitoke madarakani, mimi nina mawazo tofauti, ruhusu mawazo tofauti, watu wazungumze vitu tofauti, kwanini mnalazimishia mawazo?! Kwamba mtu akiikataa CCM mnamfuata, mnamtumia Majasusi, mnamtumia kikosi cha Usalama wa Taifa wamfuate kila anakokwenda kwani amefanya kosa gani?! mimi nimefanya kosa gani?! Kusema CCM imezeeka nimefanya kosa gani?! Na kama kuna kosa mbona msinipeleke mahakamani nihukumiwe kama ni kosa la kustahili kufa niuwawe kwasababu hiyo, mbona mnanitishia maisha, kutuma watangamize jamii yangu, kuwashawishi na pesa, kuwasafirisha, kutumia mashemeji zangu huko Arusha kuharibu jamii yangu kwanini?! CCM kwanini nasema kwanini?! Kikwete unanisikiliza mahali ulipo kwanini, mbona utume watu waharibu jamii za watu kwanini Kikwete we Kikwete?! CCM ni yako katika jina la yesu nakumbia Kikwete uondoe wale wote wanaonitafuta, na mimi sina kitu cha mtu nilichomuibia hakuna nasema CCM ni mbaya peke yake hilo, kwahiyo wacha kutuma maaskari vikosi vya kunifuata mimi sitaki, wacha kutuma katika jina la Yesu mtumishi wa Mungu ninakuambia hayo Mungu huyu ninayemtumikia katika jina la Yesu nakuamuru ondoa vikosi vyako vinavyonifuata, ondoa watu wako wanaotaka kuharibu jamii katika jina la Yesu umeshindwa Shetani, Pepo la CCM limeshindwa katika jina la Yesu. Amen
Mchungaji Munishi
No comments:
Post a Comment