Mbunge wa jimbo la Chalinze Marehemu Ramadhani Bwamdogo
Habari zaidi zinasema kwamba Marehemu Ramadhani Bwamdogo amefariki leo tarehe 22/01/2014 katika Hospital ya Moi alipokuwa amelazwa kwa matibabu.
Mungu ailaze Roho ya marehemu mahali pema Peponi Amina.
No comments:
Post a Comment