Habari za awali zinaonysha kuwa waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda amepitisha mabadiliko ya posho za vikao vya bunge na kufanya posho hizo kufikia Tsh. 200,000/= kwa kikao. Mabadiliko hayo yamekuja katika kipindi ambacho bado kuna mvutano baina ya wabunge kuhusu uhalali wa kupandishwa kwa posho hizo.
Maishatimes itawaletea habari zaidi kuhusiana na hili.
No comments:
Post a Comment