Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

November 9, 2012

-}i{- Hawa ndio Watanzania walioficha fedha Uswisi!



Kwa muda wa miaka miwili sasa tangu tulipoanza kazi nzito ya upelelezi wa wakubaini na kuzuia uingizaji na utoroshaji wa pesa nchini, juhudi zetu zimeanza kuzaa matunda baada ya kubaini majina halisi ya watanzania walioficha fedha nje ya nchi na wanaoingiza fedha haramu nchini.
Kwakushirikiana na mashirika ya kijasusi ya CIA-USA, M1-6-UK, RAW-India, DGSE-Ufaransa, FSB Urusi, ISI Pakistan, na MSS-China, ambayo yamekuwa yakifuatilia nyendo za fedha haramu hasa za kighaidi dunia, tumefanikiwa kutambua Watanzania, Wakenya, Waafrika kusini, Waganda na Wakongo wengi matajiri walioficha fedha uswisi.

Hapa nitawaorodhesha Watanzania tu;

Orodha ni ndefu ila hapa ni wale walioficha zaidi ya USD $3.5 mmilion kila moja. Wamo wanasiasa pamoja na wafanyabiashara kadhaa maarufu. Imebainikwa kwamba fedha nyingi za wanasiasa zimewekwa na makampuni ya nje yenye shughuli Tanzania. Wamo hata Makatibu Wakuu Wizarani na wakurugenzi ila hawajafikia USD3.5million ndio maana majina yao hayamo.

Orodha kamili ni:

Jakaya M. Kikwete, January Makamba, Abdalla Kighoda, Nimrod Mkono, Nazir Karamagi, Andrew Chenge, Yusuf Makamba, Edward Lowassa, Rostam Aziz, Yusuf Manji, Ridhiwani Kikwete, Mohamed Dewji, Bernard Membe, Paul Chagonja , Zitto Kabwe, William B. Mkapa, Said Mwema, Abdulrahman Shimbo, Edward Hosea, Daudi T.S Balali, Basil Mramba, Mustapha Mkullo, Grey Mgonja, Patrick Rutabanzibwa, Tanil Somaiya, Jeetu Patel, Onoko Okesukwu mwenye asili ya Kinigeria, Awadh Mohamed (mwenye uraia wa msomalia) na Subhash Patel

Orodha ya wanaoingiza pesa chafu/haramu na kuzitakatisha ni ndefu nitawawataja kadiri muda utakavyo niruhusu.

Chanzo cha Habari hii ni: http: //jasonbournetz.wordpress.com/2012/09/15/hawa-ndio-watanzania-walioficha-fedha-uswisi/ 

Kumbe kikubwa ni "Usiri"

Why do you need a Swiss bank account?

Security and privacy for your money. Switzerland has the highest level of banking secrecy and stability in the world. The Swiss National Bank offers among the greatest supplies associated with precious metal gold to support its currency. Banks within Switzerland are obligated legally to keep any and all information about their customers purely private. Secrecy guidelines tend to be vigorously enforced through the banking industry. This is also true when it comes to municipal matters.
The actual Switzerland constitution clearly defines as well as safeguards these secrecy laws. Any kind of banker that reveals details about customers is going to be punished under the regulation. Within today’s litigation-happy society, asset safety as well as property planning would be the main reasons for looking for a secure and safe banking middle within Switzerland. Individuals preserve Switzerland bank accounts for the privateness as well as protection they provide. No federal government, taxes support, lender, or even agency may actually access your account.

No comments:

Post a Comment