Leo jioni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania, Mh. Anna Makinda ameahirisha vikao vya Bunge mpaka mnamo tarehe 29/01/2013 saa3:00 za asubuhi. Pamoja na kuahirisha vikao hivyo pia Spika amewatakia heri ya Sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya wabunge wote wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania kwa ujumla.
No comments:
Post a Comment