Katika kipengele tukiaandaacho, ''What's your role?'' tutajadili mambo mbalimbali yanayogusa jamii na zaidi sisi vijana. Katika kipengele hiki, tutachambua nyanja mbalimbali za maisha zituhusizo na mchango wetu katika nyanja hizo. Wiki hii tutaanza na ''Mahusiano''. Ndani yake, tutaangalia mambo mbalimbali yanayotugusa katika mahusiano ikiwamo uelewa / elimu, munekano, starehe na mengineyo.
Ni jinsi gani basi utajumuishwa katika kipengele hiki? Kila wiki, tutakupa nafasi ya kupigia kura jambo ambalo ungependa lijadiliwe wiki inayofuata. Hatutaishia hapo tu bali tungependa utuandikie maoni yako kuhusu jambo hilo na kama ungependa kuambatanisha picha inayohusu jambo hilo. Tuma maoni yako kupitia maishatimes@gmail.com
Karibuni
No comments:
Post a Comment