Mhe. Samwel John Sitta ambaye alichaguliwa jana na kuwa Mwenyekiti wa kuduu wa Bunge maalum la Katiba
Mhe. Samiah Suluhu hassan ambaye amechaguliwa hivi punde na kuwa Makamu Mwenyekiti wa kuduu wa Bunge maalum la Katiba.
Samwel John Sitta amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Bunge maalum la Katiba.Mhe. Samiah Suluhu hassan ambaye amechaguliwa hivi punde na kuwa Makamu Mwenyekiti wa kuduu wa Bunge maalum la Katiba.
Idadi ya kura zote zilizopigwa ni 563
*Samwel Sitta amepata Kura 487,
*Hashim Rungwe amepata Kura 69
*Kura zilizoharibika ni 7
Wagombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Bunge maalum la Katiba
Idadi ya kura zote zilizopigwa ni 523
*Samiah Suluhu hassan amepata Kura 390
*Amina Abdallah Amour amepata Kura 126
*Kura zilizoharibika ni 7
No comments:
Post a Comment